• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MHESHIWA ISSA, AMUWAKILISHA MWENYEKITI WA HALMASHAURI KATIKA KIKAKO CHA WENYEVITI WA VIJIJI

Posted on: April 9th, 2025

Diwani wa Kata ya Ilongero, Mhe Issa J. Mwiru amemuwakilisha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida katika  kikao cha Wenyeviti wa Vijiji vyote vilivyopo katika Halmashauri hii.Kikao hicho kimeketi leo, tarehe 9/04/2025 katika ukumbi mkubwa wa mikutano uliopo katika Ofisi za Halmashauri, ambapo hoja kubwa zilizojadiliwa ni suala la mapato, muongozo kuhusiana na matumizi ya Mihuri, kutambua na kuheshimu mipaka ya kiongozi baina ya watendaji na wenyeviti wa vijiji katika maeneo yao na masuala mengine ya kiuongozi.


Akizungumza na Viongozi hao wa vijiji kwa niaba ya Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. Issa amewasisitizia viongozi hao kuhusiana na suala la bidii ya  usimamizi wa mapato, matumizi sahihi ya mihuri pamoja na kufanya kazi kwa bidii, uaminifu na kupendana.


“ Ukitaka ufanikiwe kwenye Kijiji chako, simamia vizuri mapato, hata kama ni kidogo, yasimie kwa uaminifu. Utafanya jambo dogo, watu watakuamini. Wananchi wanataka waone, wapapase, hawataki maneno, yaani hata kama una laki tano, fanya jambo la laki tano, watu waone.” Alisema Mhe. Issa.


 Akijibu hoja za viongozi hao wa Vijiji, kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri, Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu, Bi. Janeth Mbugha, aliwasisitizia kuhusiana na suala la matumizi ya mihuri, ambapo alipata nafasi ya kuwasomea Muongozo maalum wa matumizi sahihi ya mihuri kwa wenyeviti wa vijiji, na vilevile alifafanua kuhusiana na ulipwaji wa posho za Mawasiliano za  kila mwezi, kuwa kila kiongozi atalipwa Shilingi 10000 ambayo ni fedha inayotoka Serikali Kuu, pia suala la malipo ya kiinua mgongo, amewaahidi kuwa litafikishwa kwenye Vikao  vya Jumuia ya Tawala za Mitaa (ALAT) Mkoa,  ili kufanyiwa maamuzi.


Pamoja na hayo, wenyeviti wa vijiji wamepata nafasi ya kuchagua viongozi kutoka miongoni mwao, kwa ngazi ya Mwenyekiti, Katibu, Mtunza fedha na wajumbe.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA WATUMISHI KUHUSU WCF September 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUTANO MAALUM WA MAANDALIZI YA MSIMU WA KILIMO, WILAYA YA SINGIDA.

    October 03, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, YAFANYA UKAGUZI.

    October 02, 2025
  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

    September 29, 2025
  • USAFI WA MAZINGIRA WAFANYIKA, KATA YA MUGHAMO

    September 26, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.