• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MKUU WA MKOA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BOOST SINGIDA VIJIJINI

Posted on: July 18th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe.Peter Serukamba ametembelea Miradi ya Boost katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida ambapo ameridhishwa na hali ya ukamilishaji wa miradi hasa zile shule mpya  za Minyaa na Murya.






Mkuu wa Mkoa Mheshimiwa Peter Serukamba akikagua Ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi Murya iliyopo kata ya Ikhanoda




Mkuu wa Mkoa Mheshimiwa Peter Serukamba akikagua Ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi Minyaa iliyopo kata ya Kinyeto

Akiongea wakati wa kuhitimisha ziara yake katika Shule mpya ya Msingi Minyaa Mheshimiwa Serukamba  ametoa pongezi kwa Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Ndg Elia Digha na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Singida  Ndg Ester Chaula kwa kazi kubwa iliyofanyika ya ujenzi wa shule mpya mbili pamoja na vyumba vya madarasa katika shule za msingi

Aidha, Mhe. Serukamba amesema Serikali ya Dkt.Samia Suluhu Hassan imejipanga vyema kuendelea kuwaletea wananchi wake maendeleo ambapo imetoa fedha nyingi za maendeleo katika sekta ya elimu,afya, na maji hivyo amewataka madiwani katika kata zote zenye miradi ya Boost kuwahamasisha wananchi kushiriki katika zoezi la usafi wa mazingira pamoja na vyumba vya madarasa katika shule hizo tayari kwa wanafunzi kuanza kutumia.

Pamoja na hayo, Mkuu wa Mkoa Serukamba ameagiza zoezi la upandaji wa miti kuzunguka shule mpya zilizojengwa kufanyika kwa ajili ya vivuli lakini pia kupendezesha mandhari ya shule hizo na kusisistiza ukamilishwaji wa vipengele vidogovidogo vilivyosalia  kabla ya jumamosi ya tarehe 22 Julai ambapo ameagiza Shule hizo zikabidhiwe kwake.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA WATUMISHI KUHUSU WCF September 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUTANO MAALUM WA MAANDALIZI YA MSIMU WA KILIMO, WILAYA YA SINGIDA.

    October 03, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, YAFANYA UKAGUZI.

    October 02, 2025
  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

    September 29, 2025
  • USAFI WA MAZINGIRA WAFANYIKA, KATA YA MUGHAMO

    September 26, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.