• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MKUU WA MKOA ATATUA KERO ZA WANANCHI WA KIJIJI CHA NDUAMUGHANGA

Posted on: November 10th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Peter Serukamba amefanya ziara ya kukagua miradi na kusikiliza kero za Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida ambapo aliambatana na Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhe Paskasi Muragili, Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Elia Digha,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri,Wakuu wa Idara na wawakilishi wa RUWASA na TARURA.


Akiwa katika Kijiji Cha Nduamughanga Mhe. Serukamba ameweza kusikiliza kero za wananchi ambapo ameweza kutolea ufafanuzi wa kero ya ukosefu wa Zahanati kwa Kitongoji Cha Mukulu kwa kuwasihi Wananchi wa eneo Hilo kuwa endapo wanauhitaji wa Zahanati basi ni Bora waanzishe mkakati wa ujenzi wa boma ili baadae Serikali iangalie jinsi ya kuwasaidia kwani Sera ya Serikali kwa sasa ni kufikisha huduma ya Afya kwa kila Kijiji.Kwa swala la Barabara ya Mukulu - Nduamughanga- Mgori. ambalo liliulizwa na mkazi wa kijiji hicho Ndg Ali Shabani Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa amewataka wakala wa Barabara Vijijini ( TARURA) kulichukua na kulifanyia kazi kwa haraka ili Wananchi hao waweze kuitumia Barabara hiyo nyakati zote.



Akijibu swali la wakazi wa Kijiji hicho Ndg Abdala Selemani na Ndg Juma Limbombo juu ya Msitu wa Mgori Mhe Serukamba amewasihi wavamizi wa msitu huo kuondoka kwenye msitu huo kwani Operesheni aliyoianzisha ya kulinda msitu huo ni endelevu na amemtaka mkuu wa Wilaya kuhakikisha kuwa wote wanaofukuzwa Msituni wanarudi walikotoka na sio kusogea kwenye Kijiji hicho na kuhatarisha usalama wa wakazi wake.

Mkuu wa Mkoa amesisitiza kuwa hatovumilia uharibifu unaofanywa na wavamizi wa Msitu huo kwani unaathiri Mkoa Mzima wa Singida kwa kupelekea upatikanaji wa mvua chache hivyo kuhatarisha usalama wa chakula kwa Wakazi wa Mkoa huu.


Naye Diwani wa Kata ya Mughunga Mhe. Mtinangi Abraham kwa niaba ya watu wa Kijiji Cha Nduamughanga amemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa kuweza kuwatembelea na kusikiliza kero zao.Mhe Mtinangi ameishukuru Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwaletea miradi mingi ya maendeleo ikiwemo mradi wa Maji na Shule(Bweni).

Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA WATUMISHI KUHUSU WCF September 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUTANO MAALUM WA MAANDALIZI YA MSIMU WA KILIMO, WILAYA YA SINGIDA.

    October 03, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, YAFANYA UKAGUZI.

    October 02, 2025
  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

    September 29, 2025
  • USAFI WA MAZINGIRA WAFANYIKA, KATA YA MUGHAMO

    September 26, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.