• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MKUU WA WILAYA AAGIZA SHULE ZOTE KUHAKIKISHA KUWA ZINA MPANGO WA KUTOA CHAKULA KWA WANAFUNZI

Posted on: July 19th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amewataka maafisa lishe na watendaji wa kata zote 21 katika Halmashauri ya Singida kuhakikisha Shule zote za Msingi na Sekondari zinatoa Chakula kwa wanafunzi na ziwe na Mipango ya kuzalisha Chakula kupitia Mashamba ya Shule.

Mhe. Muragili ametoa agizo hilo katika kikao cha robo ya nne cha Kamati ya lishe Halmashauri ya Wilaya ya  Singida kilichohudhuriwa na wataalamu wa Afya, watendaji wa kata, wajumbe wa kamati ya Usalama Wilaya pamoja na wakuu wa Idara na Vitengo ambao ni wajumbe katika kamati hiyo.

Amewataka watendaji hao kuhamasisha wakazi wa Maeneo yao kuchangia juhudi za Serikali kuhakikisha watoto wa Shule wanapata Lishe bora ili kumaliza kabisa tatizo la Utapiamlo kwa kuhamasisha Jamii kuchangia upatikanaji wa Mashine za kurutubisha(Fortification) chakula  kinachochangwa na wazazi ili kuongeza ubora wa chakula kinachotolewa na kuhakikisha chakula hicho kina virutubisho muhimu vya kuimarisha mwili.

Awali  Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Ndg.Elias Tarimo ,akitoa mada juu ya Tathimini ya Hali ya Lishe ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha Aprili – Juni 2023 amesema “kati ya shule 129 ni shule 76 tu ndio zinazotoa lishe kwa wanafunzi na kati ya hizo hakuna shule inayotoa chakula kilichorutubishwa kwani hakuna Kata yenye mashine inayofanya urutubishaji(Fortification)”

Wakiunga mkono suala la Mashine za kurutubisha Chakula  baadhi ya watendaji wa kata wamesema kweli kuna umuhimu wa jamii  kuelimishwa kuchangia kwani gharama zitakazotumika kufuata mashine nje ya kata ni kubwa na zitakuwa endelevu tofauti na kama kila kata itakuwa na Mashine yake.

Matangazo

  • TANGAZO LA BVR May 11, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA April 17, 2025
  • MAENEO YA UWEKEZAJI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA January 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI ZA MUDA July 17, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA HALMASHAURI YA SINGIDA WAPATA MAFUNZO KUHUSU USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI KATIKA UWEKEZAJI

    April 03, 2025
  • TAWA YATOA ELIMU YA MBINU ZA KUKABILIANA NA WANYAMA PORI

    April 03, 2025
  • HALMASHAURI YA MANISPAA KIGOMA UJIJI WATEMBELEA HALMASHAURI YA SINGIDA

    March 28, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA SINGIDA AWAASA WALIMU KUEPUKA MIKOPO UMINZA

    March 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.