• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI WA MITI KATA YA MSANGE

Posted on: December 8th, 2024

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Mhe. Elia Digha ameongoza wataalamu kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida na viongozi wa Kata na Halmashauri ya Kijiji cha Msange katika zoezi la upandaji wa miti ngazi ya Halmashauri lililofanyika mapema leo tarehe 8/12/2024 katika eneo la ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya Msange,ikiwa ni kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya upandaji miti kimkoa, yanayotarajiwa kufanyika kesho tarehe 9/12/2024.

Akizungumza na viongozi hao, Mhe.Digha amepongeza mwitikio wa ushiriki wa zoezi hilo na pia amewasisitiza kuendelea kuhamasisha wananchi juu ya upandaji wa miti hata katika taasisi nyingine zikiwemo za dini kama Makanisani na Misikitini na katika taasisi nyingine binafsi kwani miti hiyo hutolewa bure na serikali.


Matangazo

  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA AMKABIDHI MKURUGENZI MTENDAJI MASHINE YA KULIMIA(POWER TILLER)

    December 01, 2025
  • ZIARA YA KATIBU TAWALA WA MKOA WA SINGIDA, KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI

    November 27, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA IMEFANYA KIKAO CHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAKE WOTE

    October 26, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KITAIFA MWAHANGO

    November 21, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.