• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

NENDENI MKAITANGAZE SERIKALI

Posted on: May 24th, 2025

Serikali imewataka Maafisa Habari wa mikoa na halmashauri kote nchini kuhakikisha wanatekeleza kikamilifu jukumu lao la kuhabarisha umma kuhusu utekelezaji wa shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali katika maeneo yao.


Wito huo umetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa wakati wa akifunga kikao kazi cha Maafisa Habari wa mikoa na halmashauri zote nchini kilichofanyika jijini Dodoma.Amesisitiza kuwa wananchi wanahitaji taarifa sahihi, kwa wakati, na zenye kueleweka kuhusu miradi ya maendeleo, huduma za kijamii, na mikakati ya serikali ya kuwahudumia.

"Maafisa Habari mnapaswa kuwa sauti ya serikali katika maeneo yenu. Mna wajibu wa kuhakikisha mafanikio ya serikali yanawafikia wananchi, na pia changamoto zinazojitokeza zinaelezwa kwa uhalisia wake," amesema.


Msigwa ameongeza kuwa kutofikisha taarifa kwa wananchi kunapunguza uelewa na ushiriki wao katika utekelezaji wa sera na mipango ya serikali, jambo ambalo linaweza kusababisha upotoshaji au malalamiko yasiyo na msingi.Serikali imeahidi kuendelea kuwawezesha maafisa habari kwa kuwapatia mafunzo, vifaa na teknolojia ya ikisasa ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Vilevile, amewahimiza maafisa habari kushirikiana na vyombo vya habari vya kitaifa na vya jamii katika kueneza taarifa.

“Nendeni mkaitangaze serikali – taifa linawategemea nyinyi kama daraja kati ya serikali na wananchi.”

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE WALIOHAMISHWA NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS - TAMISEMI KUTOKA HALMASHAURI MOJA KWENDA HALMASHAURI NYINGINE November 18, 2025
  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA AMKABIDHI MKURUGENZI MTENDAJI MASHINE YA KULIMIA(POWER TILLER)

    December 01, 2025
  • ZIARA YA KATIBU TAWALA WA MKOA WA SINGIDA, KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI

    November 27, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA IMEFANYA KIKAO CHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAKE WOTE

    October 26, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KITAIFA MWAHANGO

    November 21, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.