• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

RC SINGIDA AMTUA MAMA NDOO KICHWANI

Posted on: November 11th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Joseph Serukamba ametembelea kijiji cha Mughunga kilichopo kata ya Mughunga iliyopo H/W Singida na kukagua mradi wa maji unaotekelezwa na Mkandarasi Universal Construction Co. Ltd.

Mhe. Serukamba amejiridhisha na utekelezaji wa mradi huo ambapo aliweza kupita kwenye DP na kujionea upatikanaji wa maji.

Aidha upatikanaji wa maji safi na salama katika kijiji cha Mughunga limekuwa ni jibu la kero ya muda mrefu ya wananchi wa kijiji hicho ambapo ukamilishaji wa mradi huo ni mwendelezo wa nia thabiti ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuhakikisha anamtua mama ndoo kichwani na hivyo kurahisisha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wakati wote.

Mradi huu uliotengewa kiasi cha Shilingi milioni 524 Umehusisha ujenzi wa Nyumba ya Mashine na Uzio, Ufungaji wa paneli za Sola 20 zenye uwezo wa Watts285 kila moja na pampu, uchimbaji wa mitaro na ulazaji wa mabomba ya Maji yenye urefu wa kilometa 10.7, ujenzi wa vituo 7 vya kuchotea maji, ujenzi wa mambo wa kunyweshea Mifugo na Ujenzi wa Tank la kuhifadhia maji lenye ujazi wa Lita elfu 90 juu ya mnara wa mita 6.
 
Akiongea baada ya kujiridhisha na utekelezaji wa Mradi huu Mhe.Serukamba amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali Wananchi wake kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maji    amewataka wananchi wa Kijiji Cha Mughunga kuchangamkia fursa ya kuvutiwa maji kwenye majumba Yao kwa gharama kidogo.

Mradi huu utawanufaisha Wananchi wa Kijiji Cha Mughunga na wale wa maeneo ya jirani zaidi ya watu 3500 kwa kupata huduma ya maji  safi na salama.Aidha Mifugo zaidi ya 2700 watapata maji safi ya kunywa kupitia mlambo wa kunyweshea mifugo

Matangazo

  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA AMKABIDHI MKURUGENZI MTENDAJI MASHINE YA KULIMIA(POWER TILLER)

    December 01, 2025
  • ZIARA YA KATIBU TAWALA WA MKOA WA SINGIDA, KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI

    November 27, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA IMEFANYA KIKAO CHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WAKE WOTE

    October 26, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KITAIFA MWAHANGO

    November 21, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.