• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

TIMU YA UKAGUZI KUTOKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SINGIDA, YAFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO.

Posted on: September 20th, 2025

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, upande wa usimamizi, ufuatiliaji na ukaguzi, Bw. Shabani Mongomongo, ameongoza timu ya ukaguzi kutoka katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, pamoja na wataalamu kutoka katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, katika ukaguzi na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Halmashauri leo tarehe 20 Septemba, 2025. Zoezi la ukaguzi na ufuatiliaji limefanyika kwa miradi ya maendeleo iliyopokea fedha kutoka Serikali kuu, mradi wa SEQUIP uliopokea fedha kutoka kwa wadau wa maendeleo ambao ni mradi wa kuboresha elimu ya sekondari, na  mradi wa BOOST uliopokea fedha kutoka kwa wadau wa maendeleo, ambao ni mradi wa kuboresha elimu ya msingi, mradi wa TIMCHIP ambao ni mradi wa kupanua zahanati kuwa vituo vya afya ili kuimarisha huduma ya Mama na mtoto.

Ukaguzi huo umefanyika kwa lengo la kufuatilia na kuona ikiwa fedha zilizotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo, zimetumika kulingana na maelekezo yaliyotolewa, pia kuona kama miradi hiyo ina tija na  huduma zinatolewa kwa wananchi ipasavyo na lengo la serikali linafikiwa. Miradi iliyotembelewa ni pamoja na shule ya sekondari ya Ilongero, shule ya sekondari ya Amali Mssange, Hospitali ya Wilaya ya Singida, Kituo cha afya cha Ngimu, Shule za Msingi za Munkhola na Ughandi ambapo kwa ujumla miradi hii ilipokea fedha kwa mwaka wa fedha 2024/2025 na 2025/2026 kwa robo ya kwanza.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA WATUMISHI KUHUSU WCF September 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

    September 29, 2025
  • USAFI WA MAZINGIRA WAFANYIKA, KATA YA MUGHAMO

    September 26, 2025
  • MHE. GONDWE AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MRADI WA MAJI MAKURO

    September 24, 2025
  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA MAJI YENYE THAMANI YA SH. MILIONI 874

    September 24, 2025
  • Angalia zote

Video

MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI NA UNYANYASAJI KWA JAMII KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.