• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI, KWA NGAZI YA KATA

Posted on: August 4th, 2025

Mafunzo kwa Wasimamizi  Wasaidizi wa Uchaguzi kwa Ngazi ya Kata yamefunguliwa rasmi leo tarehe 4 Agosti,  2025 katika ukumbi mkubwa wa mikutano, uliopo katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Singida, ikiwa ni maandalizi ya kuwezesha kutekeleza ipasavyo shughuli za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Tarehe 29, Oktoba 2025.

Akifungua Mafunzo hayo, Mgeni rasmi wa mafunzo hayo ambaye ndiye Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ilongero, Ndg. Nasoro Erasto Kitia, amewakumbusha washiriki wa mafunzo hayo kuwa, wameteuliwa kwa mujibu wa sheria, na yakuwa wanao wajibu wa kikatiba na kisheria kusimamia, kuratibu na kuendesha Uchaguzi wa Rais na  Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Madiwani kwa upande wa Tanzania Bara, kwa niaba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.


“ Ndugu washiriki wa mafunzo, jukumu la kusimamia na kuratibu uendeshaji wa Uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Madiwani kwa upande wa Tanzania Bara, ni kubwa, nyeti na muhimu kwa mustakabali wa Taifa letu, hivyo mnategemewa kuzingatia utendaji wenu, muwajibike ipasavyo katika kipindi chote cha utumishi wenu kwa Tume hadi hapo mtakapokamilisha jukumu hili la Uchaguzi Mkuu” Alisema Ndg. Kitia.

Mafunzo hayo yanajumuisha washiriki 42 kutoka katika kata 21 za Halmashauri ya Wilaya ya Singida, ambapo kabla ya mafunzo kuanza kulitangulia zoezi la uapisho na uthibitisho, ambalo limesimamiwa na Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Singida, Mhe. Anna Daniel Mbembela. Vilevile, jumla ya Mada 11 zitawasilishwa katika siku zote 3 hadi kufikia Tarehe 6 Agosti, 2025.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA WATUMISHI KUHUSU WCF September 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUTANO MAALUM WA MAANDALIZI YA MSIMU WA KILIMO, WILAYA YA SINGIDA.

    October 03, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, YAFANYA UKAGUZI.

    October 02, 2025
  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

    September 29, 2025
  • USAFI WA MAZINGIRA WAFANYIKA, KATA YA MUGHAMO

    September 26, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.