• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Uzinduzi wa Msimu wa Kilimo 2022/2023 katika Halmashauri ya Wilaya Singida

Posted on: October 13th, 2022

Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Singida Ndugu Elia Digha akimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhe. Mhandisi Paskas Muragili katika uzinduzi  wa Msimu wa Kilimo kwa mwaka 2022/2023 uliofanyika Oktoba11, 2022 katika Kijiji cha Sagara, Kata ya Itaja.

Lengo kuu la uzinduzi ni kutoa uhabarisho kwa wakulimu juu ya kuanza kwa msimu wa shughuli za kilimo katika Halmashauri. Kupitiaa uzinduzi huu wakulima wamefahamishwa kuanza kwa shughuli mbalimbali za kilimo ikiwa ni pamoja na maandalizi ya mashamba, zana za

kilimo, mbegu, mbolea na viuatilifu. Ili kufanikiwa katika kilimo mkulima anapaswa kulima kwa kuzingatia kanuni za kilimo bora kama zinavyoelekezwa na wataalam wa kilimo.

Kanuni za kilimo bora ni kama ifuatavyo. 

i) Kutayarisha Mashamba mapema- kusafisha na kulima

ii) Kutumia mbolea- mbolea ya samadi na mbolea za viwandani

iii) Kutayarisha mbegu bora mapema; kwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida msimu wa kilimo mvua huanza kunyesha kuanzia mwishoni mwa mwezi Novemba na kuisha mwezi Aprili kwa kila mwaka.

iv) Kupanda mapema na kwa nafasi zinazotakiwa

v) Kupalilia vizuri na kwa wakati

vi) Kudhibiti magonjwa, wadudu na ndege waharibifu wa mazao

vii) Kuvuna mapema na kwa wakati

viii) Kuhifadhi mazao vizuri. 

Matangazo

  • TANGAZO LA MARUDIO NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA UFADHILI WA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI July 02, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE NGAZI YA MKOA NA WILAYA KWA MWAKA 2025 June 10, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WAFAANYAKAZI NA WANANCHI WAJUMUIKA KATIKA BONANZA LA MICHEZO ILONGERO

    August 09, 2025
  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI SINGIDA ATOA WITO KWA WASAIDIZI KUZINGATIA MAELEKEZO YA MAFUNZO

    August 06, 2025
  • UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI, KWA NGAZI YA KATA

    August 04, 2025
  • MKOA WA SINGIDA WAWEKA MIKAKATI KUKOMESHA VIFO VYA AKINA MAMA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA

    July 31, 2025
  • Angalia zote

Video

MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI NA UNYANYASAJI KWA JAMII KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.