• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

"WANAWAKE TUWE WATOAJI TAARIFA WA KWANZA, TUONAPO TUKIO LOLOTE LA UKATILI WA KIJINSIA"

Posted on: March 4th, 2025

"Wanawake tuwe watoaji taarifa wa kwanza, tuonapo tukio lolote la ukatili wa kijinsia.”

Hayo yameelezwa na Mhe. Julieth Mchawa, Diwani wa Viti maalum kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Mgori, ambaye pia alikuwa ni mgeni rasmi, leo katika maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani yaliyofanyika kwa ngazi ya Halmashauri, katika Kata ya Mgori. 

Akitoa hotuba ya mgeni rasmi, Mhe. Julieth amewasisitizia Wanawake kuwa mstari wa mbele kutoa taarifa katika vyombo vya Sheria, pindi yanapotokea matukio ya ukatili wa kijinsia katika Jamii.

“ Tusisite kutoa taarifa pindi unapoona mtoto anafanyiwa ukatili, hata akina Mama wenzangu, tunafanyiwa ukatili katika majumba yetu, naomba toa taarifa kwasababu Mama Samia amerahisisha mfumo wa wanasheria wasaidizi. Andika kimemo, andika meseji, peleka ziwafikie wataalamu hawa, na tatizo lako litakuwa limefika” Alisema Mhe. Julieth Mchawa.

Vilevile, wanawake wameaswa kuhusiana na suala la malezi ya watoto, kwa kuzingatia maadili mema, ambapo Mhe. Julieth amewaasa Wanawake kujiheshimu na kuwa mfano bora kwa watoto wao.

“ Tuendelee kujiheshimu, hakuna kitu cha maana kama heshima. Uwe kiongozi mkubwa sana lakini usipojiheshimu, bado itakuwa ni hasara. Na utakapojiheshimu wewe kiongozi kama Mama na Mtoto atafuata matendo ya mama kujiheshimu” Alisema Mhe. Julieth Mchawa.

Pamoja na hayo, sherehe hizo zilipambwa na burudani mbalimbali kutoka kwa kina Mama na wanafunzi wasichana kwa  wavulana, burudani kama vile maigizo, nyimbo, ngoma za asili, utenzi na kucheza muziki.

Matangazo

  • TANGAZO LA MARUDIO NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA UFADHILI WA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI July 02, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE NGAZI YA MKOA NA WILAYA KWA MWAKA 2025 June 10, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WAFAANYAKAZI NA WANANCHI WAJUMUIKA KATIKA BONANZA LA MICHEZO ILONGERO

    August 09, 2025
  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI SINGIDA ATOA WITO KWA WASAIDIZI KUZINGATIA MAELEKEZO YA MAFUNZO

    August 06, 2025
  • UFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI, KWA NGAZI YA KATA

    August 04, 2025
  • MKOA WA SINGIDA WAWEKA MIKAKATI KUKOMESHA VIFO VYA AKINA MAMA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA

    July 31, 2025
  • Angalia zote

Video

MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI NA UNYANYASAJI KWA JAMII KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.