• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

ZOEZI LA UTOLEWAJI WA NOTISI YA SIKU 90 ZA KUONDOKA KATIKA HIFADHI YA MSITU WA MUNKHOLA KWA WANANCHI LAFANYIKA KATA YA MGORI NA MUGHAMO

Posted on: January 17th, 2025

Zoezi la utolewaji wa Notisi ya siku 90 za kuondoka katika hifadhi ya Msitu wa Munkhola,kwa wananchi wa Kata ya Mgori na Mughamo waliovamia maeneo mbalimbali ya hifadhi hiyo, limemalizika leo tarehe 17/1/2025, ikiwa ni utekelezaji wa maazimio ya mkutano wa wananchi na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe Godwin Gondwe uliofanyika  tarehe 10/1/2025 katika Kijiji cha Munkhola.

Zoezi hilo lililofanyika kwa siku mbili kuanzia siku ya jana, limetekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Singida,kwa kupitia Timu ya Wataalamu wa Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira pamoja na Kitengo cha Usafi wa Mazingira kutoka katika Ofisi za Halmashauri, wakishirikiana na Afisa kutoka Wakala wa Huduma za Misitu  Tanzania (TFS) pamoja na Askari kutoka Jeshi la  Polisi la Wilaya ya Singida wakiongozwa na Viongozi wa Halmashauri ya Kijiji cha Munkhola.

Zoezi hilo limehusisha ubandikwaji wa Nakala ya Notisi katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya hifadhi na uwekwaji wa Alama ya "Bomoa" na "X", katika kila Nyumba iliyojengwa ndani ya hifadhi,ambapo wananchi walioanzisha makazi yao ndani ya hifadhi kinyume cha Sheria,na kufanya shughuli mbalimbali za kibinadamu ikiwemo ufugaji, kilimo na kuchoma mkaa, wanatakiwa kuondoka kwa hiari ndani ya siku 90, kuanzia tarehe 10/1/2025 hadi tarehe 10/4/2025. Lengo la kuchukuliwa kwa hatua hiyo, ni kuimarisha uhifadhi wa Misitu na Maliasili zilizopo hifadhini, ili kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya Nchi.


Matangazo

  • TANGAZO LA BVR May 11, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA April 17, 2025
  • MAENEO YA UWEKEZAJI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA January 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI ZA MUDA July 17, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA HALMASHAURI YA SINGIDA WAPATA MAFUNZO KUHUSU USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI KATIKA UWEKEZAJI

    April 03, 2025
  • TAWA YATOA ELIMU YA MBINU ZA KUKABILIANA NA WANYAMA PORI

    April 03, 2025
  • HALMASHAURI YA MANISPAA KIGOMA UJIJI WATEMBELEA HALMASHAURI YA SINGIDA

    March 28, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA SINGIDA AWAASA WALIMU KUEPUKA MIKOPO UMINZA

    March 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.