• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MAAFISA MAENDELEO SINGIDA WATOA ELIMU YA MIKOPO KWA VIJANA

Posted on: January 9th, 2026

Maafisa Maendeleo kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Singida, jana tarehe 08 Januari 2026, wamefanya ziara katika kata za Ntonge na Msisi kwa lengo la kutoa elimu na kuhamasisha vijana kushiriki katika fursa za kiuchumi.


Katika ziara hiyo, vijana walielimishwa kuhusu mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri, uundaji na usajili wa vikundi, pamoja na umuhimu wa urejeshaji wa mikopo kwa wakati. Pia walipatiwa elimu kuhusu VICOBA na fursa za mikopo kupitia Benki ya NMB. Ilielezwa kuwa zaidi ya shilingi milioni 700 tayari zimetolewa kwa vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Aidha, maafisa hao walisikiliza changamoto za vijana ikiwemo changamoto za mtaji, uelewa mdogo wa taratibu za mikopo na upatikanaji wa masoko. Pia vijana walihimizwa kutumia fursa zilizopo kwa maendeleo yao na ya Halmashauri.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SINGIDA DC YAPIGA HATUA KUBWA YA KUBORESHA LISHE MASHULENI KUPITIA MRADI WA NOURISH

    January 14, 2026
  • WANANCHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA WANUFAIKA NA MRADI WA NOURISH

    January 13, 2026
  • VIJANA WA MUGHAMO WAPEWA ELIMU YA MIKOPO YA ASILIMIA 10

    January 09, 2026
  • MAAFISA MAENDELEO SINGIDA WATOA ELIMU YA MIKOPO KWA VIJANA

    January 09, 2026
  • Angalia zote

Video

VIJANA WANUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.