• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

TUMIENI MICHEZO KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA

Posted on: August 23rd, 2025

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI (ELIMU) Mhe. Zainab Katimba ametoa rai kwa Watumishi wa Mamlaka ya Serikali za Mitaa wanaoshiriki mashindano ya SHIMISEMITA 2025 kutumia fursa ya mashindano hayo kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la upigaji kura wa kuchagua Rais Wabunge na Madiwani siku ya Oktoba 29, 2025.


Akiongea wakati wa ufunguzi wa mashindao hayo mapema Agosti 23, 2025 katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga Mhe. Katimba amewataka watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kushiriki kikamilifu mashindano haya na kuwakumbusha wananchi kuhusu zoezi kubwa la kitaifa la uchaguzi ikiwa ni sambamba na kiwaeleimisha wananchi hao juu ya faida ya kuchagua viongozi bora kwa maendeleo ya michezo na taifa kwa ujumla.

“Kupitia kauli mbiu hiyo Sanaa na Michezo ikawe chachu ya watumishi wengine ambao hawakupata fursa hii na jamii kwa ujumla kuonesha uzalendo wa kuipenda nchi yao kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025 na kuchagua viongozi walio bora na siyo bora viongozi” amesema Mhe. Katimba.

Aidha, Mhe. Katimba ametumia fursa hii kuwataka Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa nchini kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya kuwezesha michezo. Ikiwemo migao ya kila mwezi katika Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa ili iwasaidie katika kuratibu shughuli za michezo sambamba na ushiriki wa wanamichezo kutoka kwenye kila Halmashauri husika kwani michezo inasaidia kuimarisha afya, ukakamavu, upendo, ushirikiano pamoja na kudumisha nidhamu mahala pa kazi.

Katika Hotuba yake Mhe. Katimba amethibitisha kuwa jumla ya Halmashauri 150 kati ya 184 zimeshiriki Mashindano ya SHIMISEMITA 2025 ambapo jumla ua watumishi 3504 wamewasili Jijini Tanga huku miongoni mwao Wanaume wakiwa 2114 na Wanawake 1390. Sambamba na hilo Naibu Waziri Mhe. Katimba amesisitiza na kuelekeza Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinashiriki kikamilifu mashindano yajayo ya SHIMISEMITA mwaka 2026.

Mashindano haya ya SHIMISEMITA 2025 yenye kauli mbiu ya “Jitokeze Kupiga Kura kwa Maendeleo ya Michezo”

Matangazo

  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU June 04, 2025
  • MAENEO YA UWEKEZAJI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA January 03, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI ZAKUMBUSHWA KUTENGA BAJETI YA WANAMICHEZO SHIMISEMITA

    August 29, 2025
  • KIKAO CHA ROBO YA NNE CHA KAMATI YA LISHE HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA: TATHMINI YA UTENDAJI NA UWAJIBIKAJI KWA MWAKA 2024/2025

    August 27, 2025
  • TUMIENI MICHEZO KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA

    August 23, 2025
  • WAFAANYAKAZI NA WANANCHI WAJUMUIKA KATIKA BONANZA LA MICHEZO ILONGERO

    August 09, 2025
  • Angalia zote

Video

MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI NA UNYANYASAJI KWA JAMII KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.