• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

TUME HURU YA UCHAGUZI YAWEKA WAZI RATIBA YA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2025

Posted on: July 26th, 2025

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jacobs Mwambegele, ameweka wazi ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wa Rais, Wabunge katika Jamhuri ya Muungano na Madiwani kwa Tanzania Bara.

Akizungumza leo Julai 26, 2025 katika viunga vya Makao Makuu ya Tume hiyo jijini Dodoma, Jaji Mwambegele amesema Agosti 9 hadi Agosti 27, 2025 itakuwa ni kipindi cha kutoa fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais.Ameeleza pia kuwa Agosti 14 hadi Agosti 27, 2025 itakuwa ni kipindi mahususi cha utoaji wa fomu za uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani, huku Agosti 27, 2025 ikiwa ni siku ya uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais, Makamu wa Rais, ubunge na udiwani.

Sambamba na hilo, ameongeza kuwa Agosti 28 hadi Oktoba 27, 2025 ni kipindi cha kampeni kwa Tanzania Bara na Zanzibar ili kupisha kura ya mapema. Aidha, amesema Oktoba 29, 2025, siku ya Jumatano, ndiyo itakuwa siku ya kupiga kura.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 20, 2026
  • TANGAZO LA MAUZO YA MAZAO YA MISITU December 05, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 20, 2025
  • TANGAZO LA BIMA December 05, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • DC GONDWE AFANYA ZIARA YA UTATUZI WA MGOGORO WA ARDHI.

    December 24, 2025
  • KIKAO CHA MIPANGO YA AWALI YA LISHE NGAZI YA HALMASHAURI

    December 19, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA MAPATO KWA KIPINDI CHA MWEZI JULAI HADI DESEMBA, 2025.

    December 19, 2025
  • TIMU YA UFUATILIAJI NA TATHMINI YAFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO.

    December 18, 2025
  • Angalia zote

Video

"29 OKTOBA, TUJITOKEZE KUPIGA KURA" - DC GODWIN GONDWE.
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.