• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

KAMATI YA FEDHA, MIPANGO NA UCHUMI KATIKA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: November 1st, 2023

Mwenyekiti wa Kamati ya fedha , mipango na uchumi ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Singida na diwani wa kata ya Msange Mhe. Elia Digha amewataka watumishi wa idara ya afya kuzingatia misingi na taratibu za utoaji huduma bora kwa wagonjwa.

Ameyasema hayo Oktoba 31, 2023 pindi kamati hiyo lipofanya ziara ya kukagua ukamilishaji wa jengo la upasuaji na jengo la wodi ya upasuaji ya wanaume katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya  Singida iliyopo kata ya Ilongero.

Akisoma taarifa ya ukamilishaji wa majengo  Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dr. Yusuph Kitinya amesema mpaka sasa hospitali ina jumla ya watumishi 45 na inatoa huduma kwa wagonjwa wa nje na ndani, maabara, kliniki ya afya ya uzazi, mama na mtoto, huduma ya kujifungua na huduma za upasuaji wa dhalula. Aidha ujenzi wa majengo mawili ya upasuaji ulitengewa kiasi cha Tshs. 424,612,750.00 kutoka serikali kuu na mpaka sasa kiasi cha Tshs. 399,520,730.00 kimeshatumika.

Katika kuunga mkono jitihada za serikali katika ujenzi wa miradi ya maendeleo Halmashauri ya Wilaya ya Singida imetoa fedha kiasi cha milioni 33 kutoka mapato yake ya ndani kati ya shilingi milioni 43 zilizotumika katika ujenzi wa wodi ya wagonjwa mahututi (ICU) mara baada ya kukataliwa kwa msamaha wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ambapo fedha hizo zimetumika kulipia gharama za mafundi, manunuzi ya vifaa vya umaliziaji wa ujenzi wa majengo hayo.

Hata hivyo idara ya ujenzi na kitengo cha manunuzi ya umma katilka Halmashauri ya Wilaya ya Singida imetakiwa kuongeza umakini katika utendaji kazi kwa kuzingatia sheria, taratibu na kanuni za manunuzi ya umma na hivyo kuhakikisha majengo yanakamilika kwa wakati.

Aidha Mhe. Digha amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Bi. Ester Chaula kuhakikisha miradi yote ya umaliziaji wa ujenzi iwe imekamilika ndani ya wiki mbili tayari kwa kukabidhiwa.  

Matangazo

  • TANGAZO LA MARUDIO NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA UFADHILI WA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI July 02, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE NGAZI YA MKOA NA WILAYA KWA MWAKA 2025 June 10, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • ZIARA YA DC GODWIN GONDWE, KUKAGUA MAANDALIZI YA UJIO WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, SINGIDA DC.

    June 21, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA USIMAMIZI WA UTENDAJI KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA (PEPMIS)

    June 20, 2025
  • TASWIRA YA DARAJA LA JP MAGUFULI, (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • Angalia zote

Video

Mgogoro wa Ardhi Tarafa ya Mgori wamaliizika
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.