• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na LIshe
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • USIMAMIZI WA TAKA NA USAFI
    • Vitengo
      • TEHAMA na TAKWIMU
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi na Ununuzi
      • Michezo , Utamaduni na Sanaa
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI, MHE. JERRY SILAA, AZINDUA MNARA WA MAWASILIANO YA SIMU KATA YA MAKURO

Posted on: October 26th, 2024

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa (Mb) azindua mnara wa mawasiliano ya simu uliojengwa katika kata ya Makuro, Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Akiongea katika uzinduzi huo Mhe. Silaa amesema, wananchi takriban 15,613 wa Kata ya Makuro na maeneo ya jirani wataanza kupata huduma ya mawasiliano ya simu ya uhakika kufuatia kukamilika kwa mnara uliojengwa na kampuni ya Airtel kwa ruzuku inatolewa na Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kiasi cha shilingi milioni 115.

Akiwasilisha Taarifa ya utekelezaji wa mradi huo, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi Peter Mwasalyanda amesema, awali mnara huo ulikuwa unatoa huduma kwa teknolojia ya 2G pekee ambayo huwezesha watumiaji kuwasiliana kwa kupiga simu za sauti na kutuma ujumbe mfupi yaani SMS tu, lakini kuanzia tarehe 24 Oktoba, 2024 mnara huo uliongezewa teknolojia ya 3G na 4G ili kuwezesha matumizi ya huduma za mtandao wa intaneti kupitia simu na vifaa vingine.

Aidha, Mhandisi Mwasalyanda ameongeza kuwa, kupitia Mradi wa Tanzania ya Kidijitali (DTP), ambao una jumla ya minara 758 inayojengwa katika kata 713 nchini, Mkoa wa Singida una jumla ya minara 33 inayojengwa katika wilaya za Ikungi, Iramba, Manyoni, Mkalama na Singida.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego, ametoa wito kwa wananchi kuutunza mnara huo kwa kuwa kuongezwa teknolojia ya 3G na 4G kutafungua fursa mbalimbali kwa wananchi wa Kata hiyo na kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Mnara huu utahudumia vijiji vya Mikuyu, Mwalala, Matumbo, Mkenge na Makuro. Aidha utahudumia pia wananchi wa vijiji vya jirani vya Sekotoure, Msimihi na Mjughuda.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODISHWA KWA SHAMBA LA MBEGU LA MPAMBAA September 16, 2025
  • TANGAZO LA WATUMISHI KUHUSU WCF September 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 30, 2025
  • TANGAZO LA FURSA ZA KUTOA HUDUMA ZA CHAKULA (CATERING) KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUTANO MAALUM WA MAANDALIZI YA MSIMU WA KILIMO, WILAYA YA SINGIDA.

    October 03, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI KUTOKA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, YAFANYA UKAGUZI.

    October 02, 2025
  • MHE. GONDWE ATEMBELEA MIRADI YA LISHE KATIKA SHULE 3 ZA SEKONDARI.

    September 29, 2025
  • USAFI WA MAZINGIRA WAFANYIKA, KATA YA MUGHAMO

    September 26, 2025
  • Angalia zote

Video

WATUMISHI WAPYA WAASWA KUWEKA AKIBA
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Jengo la Utawala Kijiji cha Mwahango Kata ya Ilongero

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded.singidadc@singida.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.