• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Singida District Council
Singida District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji na Udhibiti wa Majitaka
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria na Usalama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, uongozi na mipango
      • Uchumi, ujenzi na mazingira
      • Huduma za jamii
      • VVU UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya madiwani
      • Kumuona mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Elimu Msingi

Utekelezaji wa Ilani katika utoaji wa elimu ya Msingi uko katika maeneo yafuatayo:-

  • Ujenzi wa Miundombinu ya Elimu Msingi, Halmashauri ya Wilaya kwa kipindi cha 2016/2017, 2017/2018 na 2018/2019 ilipokea fedha kiasi cha Tsh1,016,384,337/= kwa mchanganuo ufuatao: - kiasi cha Tsh. 737,960,150 EP4R, 278,424,187 EQUIP-T na na fedha Maboma Tsh87, 500, 000 kwa ajili ya ujenzi wa Mabweni 2, Madarasa 70, vyoo matundu 294, ukarabati vyumba 3 vya madarasa, ofisi 12 na ujenzi wa nyuma za walimu 6.
  • Aidha   uandikishaji umeongezeka kutoka124% mwaka 2016/2017 na kufikia 126% kwa mwaka2018.
  • Elimu Bila Malipo – Darasa la awali hadi darasa la VI (shule za Serikali).

Halmashauri ya Wilaya ya Singida kwa kipindi cha 2015/2016, 2016/2017, 2017/2018, 2018/2019 na 2019/2020 ilipokea jumla ya Tsh 2,401,072,529.23  fedha za  uendeshaji ( Capitation) kwa ajili ya  ununuzi wa vifaa, ukarabati, chakula, mitihani, michezo, Chakula  na utawala katika shule zote 99 za Serikali kwa elimu msingi.

Hali iliyopelekea kuongezeka kwa ufaulu kama ifuatavyo:

MWAKA

WALIOFAULU MTIHANI

%

2014

5,356

73.00

2015

4,818

91.41

2016

5,479

93.67

2017

6,512

94.01

2018

7,394

93.09

2019

4333

81.02

Aidha hali ya mdondoko imepungua kutoka 5% mwaka 2015 hadi 0.3% kwa mwaka 2019.

Matangazo

  • WALIOCHAGULIWA DARASA LA SABA 2020 December 20, 2020
  • GPSA LIST OF SUPPLIERS FOR 2019/2020 January 01, 2020
  • MIFUKO YA PLASTIKI YAPIGWA MARUFUKU May 17, 2019
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi May 10, 2018
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO YA WIKI YA MGONJWA YASIYOAMBUKIZA TAREHE 7 - 14 NOVEMBA 2020

    November 16, 2020
  • NAIBU WAZIRI WA NCHI - OFISI YA RAIS ,MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA AFANYA ZIARA YA KIKAZI HALMASHAURI YA WILAYA SINGIDA KUANGALIA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI (TASAF)

    January 07, 2020
  • MWENGE WA UHURU 2019 WAPOKELEWA KWA SHANGWE HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    August 23, 2019
  • WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS TAMISEMI MHESHIMIWA SULEMAN JAFFO (MB) AKIKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA

    July 10, 2019
  • Angalia zote

Video

Mheshimiwa mwenyekiti H/W Singida akizungumza wakati wa kikao cha baraza maalum la bajetin 13/02/2018
More Videos

Kurasa za karibu

  • Matangazo
  • Habari
  • Matukio

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti kuu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Singida
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Bomani Area

    Anuani ya Posta: Box 27, Singida

    Simu: +25526502252

    Simu ya Mkononi: +25526502237

    Barua Pepe: ded@singidadc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Haki zote zimehifadhiwa.